Recent content by EUSEBI PAULO

  1. E

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Kama mnafundishwa elimu akhera alafu waenda kusit for elimu dunia utafaulu kweli?? Kwani hao waislamu wachache wanaofaulu huwa wanaandika majina ya wakristu ndio wanafaulishwa? Acheni kujishusha nyie mnaanza kuwaza nani kamishna wa elimu ni dini gani kama waislamu hawana vigezo wapewe tu...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kompyuta..msaada hapa

    Chomoa betri alafu uweke kisha uwashe
  3. E

    JamiiForums Tanzania Duh Huyu Mwarabu Kiboko na Haya Majibu. Lazima Ucheke

    Kama haichekesh huna bandama aisee chalii angu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa historia...........

    Mtaala ni jumla ya mambo yote yanayofanywa na mwl na mwanafunz nje na ndani ya darasa sasa ukisubiri wazir akabebe mambo yote anayotakiwa kuyafanya mwl na mwanafunz ndani na nje ya darasa utakaa sana
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa historia...........

    Nawashangaaa sana watz wanaosubiri mh waziri aubebe mtaala aupeleke bungeni...hii inaonesha hawafahamu maana ya mtaala ila kilichopo ni kudandia hoja tuu jaribu kuuliza nini maana ya mtaala kabla ya kukoment chochote....no risech no right to spik
Back
Top Bottom