Recent content by EUNICE 2

  1. E

    Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

    nadhani kuna thread ilikuwepo humu mkuu ! Lakini hao jamaa watakuelezea vizuri !
  2. E

    Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

    EUNICE 2 napenda biomedical ! Nimefaulu vizuri ! Namshukuru mungu !
  3. E

    Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

    Jamani hapa tulipofikia si kazi ndogo ! Tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kufika mpaka leo hii ! Tukijuliana hali sio mbaya ! Wasalaam !
  4. E

    Kwa hizi point nitachaguliwa DIT?

    tupo wengi tu ndugu!
  5. E

    Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

    wakuu kwa MBeya huduma inapatikana wapi? Na kwa bei gani?
  6. E

    Tofauti kati ya diploma na advanced diploma

    Msaada tafadhali
  7. E

    Kuna Uwezekano wakuchaguliwa DIT nikwa na alama hizi.....!

    kila kitu kitakuwa sawa mkuu ahsante kwa ushauli wako!
  8. E

    Kuna Uwezekano wakuchaguliwa DIT nikwa na alama hizi.....!

    yaaa ngoja nisubirie post ndugu mana sina uhakika kabisa kama ntachaguliwa collage na nisipo pelekwa huko basi ntaenda PCB mana nna Physics B' , Chemistry B' na Biology B+
  9. E

    Kuna Uwezekano wakuchaguliwa DIT nikwa na alama hizi.....!

    # Biomedical equipments engeneering mna ionaje wakuu?
  10. E

    Kuna Uwezekano wakuchaguliwa DIT nikwa na alama hizi.....!

    . Nataka nikasome BIO MEDICAL ENGENEERING upande wa ajira imekaaje?
  11. E

    Kuna Uwezekano wakuchaguliwa DIT nikwa na alama hizi.....!

    Wakuu nikiwa na alama hizi Physics = B' Chemistry = B' Mathematics = C naweza kuchaguliwa kujiunga na engeneering DIT
  12. E

    msaada wakuu! 1$ ni sawa na Tsh ngapi?

    Msaada wenu wakuu . 1$ ni sawa na Tsh ngapi?
Back
Top Bottom