Recent content by Eugenia Peter

  1. E

    JamiiForums Tanzania Sio Zitto pekee yake, hata sisi tumeandika

    Umeambiwa Makonda anatuhumiwa kwa kupinga ushoga? Mbona Museven alitunga sheeia kabisa ya kuzuia ushoga na hakupigwa ban? soma vzr waraka wa Pompeo mkuu, acha kuwasikiliza Vichaa wa CCM acha kujitoa ufahamu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sio Zitto pekee yake, hata sisi tumeandika

    huoni hata aibu mkuu, MAANA UMEJITOA UFAHAMU KWA KIWANGO KIKUBWA MNOO Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Mwandishi unaonekana wewe umetoka facebook, umehamia JF hauna hata miaka mi5, ule siyo uamuzi wa Pompeo, ni uamuzi wa USA Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom