Recent content by Esther Wasira

  1. E

    Kesho Iringa: Lema, Sugu, Lissu, Kiwia, Wenje Msigwa na Dr. Slaa kuhutubia

    To help out, Wanasheria huwa tunasema "Res ipsa Loquitur" meaning "The thing speaks for itself"......
  2. E

    Cheti alichotumia Mulugo cha Mhadhiri wa Mkwawa

    "Ni kweli Dick Mulungu tulisoma wote Songea Boys. Lakini hili jina la Mulungu ni jina letu la ukoo. Babu yangu alikuwa akiitwa Filipo Milambo Mulungu, kwa hiyo niliendelea kulitumia hivyo hivyo na hata jina la Mulugo ni letu pia," alisema. Aidha, ameeleza kuwa "Jina la Hamim ni la nyumbani...
  3. E

    Resign! Ma'am Speaker... We told you so...

    A miserable failure!!! It is very sad having to conclude that she is not a Woman of Substance!!! And it is women like her who set an unbecoming precedent, and all women get stereotyped just because of one woman's selfish motives and lack of integrity and honesty. What an utter disgrace!!! The...
  4. E

    Namleta Kwenu Kamanda Lilian Wasira, Karibuni kwa Maswali & Majibu

    Asante kwa ushauri JF Senior Expert Member Wingu.. Hivi kuwajibika kwa nchi yako kwa manufaa ya walio wengi ndiyo njia ya kujitoa kwenye umasikini?? Tuna mitazamo tofauti.. Sasa naelewa kwa nini Uongozi sio Utumishi tena! Ila ukombozi unakuja, ninayo ndoto!
  5. E

    Namleta Kwenu Kamanda Lilian Wasira, Karibuni kwa Maswali & Majibu

    Ndugu wana JF, mnakumbuka kamanda Esther Wasira alipojiunga CHADEMA alikuwa ameambatana na dada yake Lilian Wasira ambaye aliongea kwa ujasiri mkubwa. Tangia wakati huo kamanda Lilian hajaonekana tena. Nili take trouble kumtafuta na nikagundua ni mwana JF. Kwa ufupi anasema amepania kuipigania...
  6. E

    Namleta Kwenu Kamanda Lilian Wasira, Karibuni kwa Maswali & Majibu

    Habari Gagnija.. Amekaribishwa Lilian Wasira na ndiye mlengwa, nami nimeshiriki kumkaribisha "Kamanda wangu Lilian"....
  7. E

    Namleta Kwenu Kamanda Lilian Wasira, Karibuni kwa Maswali & Majibu

    Karibu sana Kamanda wangu.. Mapambano yanaendelea.
  8. E

    Esther Wasira: Waliofilisi Mashirika ya Umma na Kujiuzia nyumba za umma kukiona 2015: Angalia Ch 10

    Aliwanyima maarifa Wazee akawafunulia watoto wachanga!
  9. E

    Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

    W. J. Malecela, Habari ya leo, Pole sana na hongera kwa majukumu ya "Ujenzi wa Taifa".. Mimi ni mtu ninayeheshimu sana mawazo binafsi ya watu na huwa sijibu watu hovyo au bila ya kufikiria kwanza; kwahiyo chukua jibu langu/maoni yangu haya, very seriously,maana hii ni "Calculated Response"...
  10. E

    Zitto in JF Exclusive Interview on the 22nd of November, 2012

    Ile thread ilifungwa mapema kabla sikutumia nafasi yangu ya kipekee uliyonipatia AshaDii..ila ili maoni yangu yasiende bure na ukizingatia subject matter bado ni Mh. Zitto Kabwe, basi naamini naweza kutumia hata uzi huu.. so, i will simply copy and paste my views.."AshaDii, asante kwa fursa ya...
  11. E

    Mahojiano Maalum kati ya Esther Wasira na Tanzania Daima Jumapili

    JF Senior Expert Member...Na hayo nayo ni maoni yako. Asante.
  12. E

    Mahojiano Maalum kati ya Esther Wasira na Tanzania Daima Jumapili

    Asante sana Ben, naahidi nitafanya hivyo..
  13. E

    Mahojiano Maalum kati ya Esther Wasira na Tanzania Daima Jumapili

    Asante sana.. Inatia moyo kwamba umeguswa.. Nashukuru mno.
Back
Top Bottom