Mahojiano Maalum kati ya Esther Wasira na Tanzania Daima Jumapili

Ok kamanda Esther.. umezaliwa 1987 ukaanza std 1 mwaka 1992 _ukiwa na mika 5. sekondari 1999 hadi 2003 ulisoma mika mitano vipi form two ili_fail au ndo mambo zenu za english medium pre form one mwaka Mzima.

hebu weka takwimu sawa.

Hujakosea sana.. Loyola High School ina utaratibu wa Pre-form One, then 1-4..
 
Niwe mkweli, da Esther umenifanya nitamani kuingia ulingoni. Baadhi ya Wanawake wanaotuongoza sio CHADEMA sio CCM, wanatuangusha. Pia wanasababisha Wanawake wengine na wenye uwezo wasiingie kwenye siasa. Aidha kwa kuwaoogopa au kuogopa mambo yao ya mipasho. Anyway Mungu akipenda.
Big up.
Queen Esther
Queen Esther..Uoga ni kitu kibaya sana.. Welcome on board..Sasa wote tukiacha,nani atafanya mama?
 
Niwe mkweli, da Esther umenifanya nitamani kuingia ulingoni. Baadhi ya Wanawake wanaotuongoza sio CHADEMA sio CCM, wanatuangusha. Pia wanasababisha Wanawake wengine na wenye uwezo wasiingie kwenye siasa. Aidha kwa kuwaoogopa au kuogopa mambo yao ya mipasho. Anyway Mungu akipenda.
Big up.
Queen Esther
Ila wanawake kama Esther wapo wengi Tz issue tuwaibue vipi?
 
niseme tu ni mmoja kati ya watakaofanya vizuri kwenye ulingo wa siasa kama tu mambo mengine yatabaki kama yalivyo.. ni mwanzo mzuri
 
kweli ester wakati nasoma mahojiano hayo mwili ulikuwa unasisimuka nahisi wewe ni replacement ya regina nakutakia maisha marefu mpaka kieleweke
 
Esther,
We have all what it takes to change the Nation

-Keep up the spirit.Kupitia kwako Ninapata picha ya Benazir Bhutto katika mapambano haya.

-Mara kwa mara jitahidi kubadilishana mawazo hapa JF na Mitandao Mingine hata ya Nchi nyingine kama NAIRALAND,The Planet,Politcalforum n.k Hii itapanua uelewa wako zaidi na utajifunza Mengi

-Simama kidete na kila hatua ya kisiasa unayopiga fanya assesment na usisite kurekebisha makosa mapema

-Naamini nje ya CHAMA hapa JF utapata ushauri kwa njia ya wazi au PM

Karibu sana Esther,Bravo Kamanda!
 
chazea Ester wewe mtoto alivyo mahili na tishio kwa uhai wa magamba hadi baba yake kafikia kumkana! Ritzzzzzzz mara hii mnalo kaka
baba yake akaishia kumtisha dr slaa ooh unawapa kadi wake za watu mafichoni ooh mimi simtambui ww mtt wa kk yako usimjue yaaani bint ni soo
 
Esther,
We have all what it takes to change the Nation

-Keep up the spirit.Kupitia kwako Ninapata picha ya Benazir Bhutto katika mapambano haya.

-Mara kwa mara jitahidi kubadilishana mawazo hapa JF na Mitandao Mingine hata ya Nchi nyingine kama NAIRALAND,The Planet,Politcalforum n.k Hii itapanua uelewa wako zaidi na utajifunza Mengi

-Simama kidete na kila hatua ya kisiasa unayopiga fanya assesment na usisite kurekebisha makosa mapema

-Naamini nje ya CHAMA hapa JF utapata ushauri kwa njia ya wazi au PM

Karibu sana Esther,Bravo Kamanda!
 
hizi props za kumpigia mtu asiye na historia ya kuongoza jamii kwa lolote lile na wala hayuko kwenye nafasi ya kushawishi jamii kiuongozi kwa lolote lile ni ujinga mtupu. Na kama CDM ndiyo wanaleta hizi cheap propaganda za kuuza watu kama hawa kama ndiyo wanawaandaa kua viongozi waandamizi hapo 2015 hii inatuonyesha udhaifu mkubwa walio nao hawa wapinzani ambao hautakua na tija kwa taifa hili. CDM kinapenda sana majina majina haya sijui nani sijui nani na hii haina tofauti na CCM sasa.
 
Asante sana Ben, naahidi nitafanya hivyo..
 
acha upuuzi na ujinga unaleta uzoefu wa kuendesha magari kwenye watu kwani kiongozi wa kwanza alipatia wapi uzoefu kwa mjomba yako? ilo sio gari unahitaji kujua location za gia na vitu kama hivyo uvizoee kwanza ndipo uzame road alah!
 
hizi props za kumpigia mtu asiye na historia ya kuongoza jamii kwa lolote lile na wala hayuko kwenye nafasi ya kushawishi jamii kiuongozi kwa lolote lile ni ujinga mtupu. Na kama CDM ndiyo wanaleta hizi cheap propaganda za kuuza watu kama hawa kama ndiyo wanawaandaa kua viongozi waandamizi hapo 2015 hii inatuonyesha udhaifu mkubwa walio nao hawa wapinzani ambao hautakua na tija kwa taifa hili. CDM kinapenda sana majina majina haya sijui nani sijui nani na hii haina tofauti na CCM sasa.

JF Senior Expert Member...Na hayo nayo ni maoni yako. Asante.
 
hizi props za kumpigia mtu asiye na historia ya kuongoza jamii kwa lolote lile na wala hayuko kwenye nafasi ya kushawishi jamii kiuongozi kwa lolote lile ni ujinga mtupu. Na kama CDM ndiyo wanaleta hizi cheap propaganda za kuuza watu kama hawa kama ndiyo wanawaandaa kua viongozi waandamizi hapo 2015 hii inatuonyesha udhaifu mkubwa walio nao hawa wapinzani ambao hautakua na tija kwa taifa hili. CDM kinapenda sana majina majina haya sijui nani sijui nani na hii haina tofauti na CCM sasa.
Samahani kwa kiyaita haya kuwa ni mawazo mgando. Uongozi ni kipaji, ni wewe peke yako hujakiona kipaji cha Esther. Huyu hata akienda CCM wanaweza kumpa ukatibu mkuu. Sidhani kama jina ndilo linafanya watu wanampenda, kuna kitu zaidi ya hapo
 
Duh, huyu dada ni dhahabu iliyoibuliwa na ng'ao wake unatisha..... nilimsikiliza siku ile ya mdaalo pale UDSM eeeh, vipele vya kusisimka vilinitoka na ukisoma hii interview yake waooo..ni hazina kubwa kwa CDM...anafaa kuwa katibu mkuu anatema vitu nondo
 
'Esta' kila la heri!
ujasiri, kujiamini na uwezo wako wa ufahamu vinatia moyo sana ukizingatia umri wako. Mungu akuongoze nia yako iendelee kuwa safi.
 
Back
Top Bottom