Recent content by esterjohn

  1. E

    CHADEMA wanajidanganya tena sana

    I salute you Marandu. Mimi nashauri ubaki huko huko uliko. Usije huku TZ kipindi hiki hadi hadi hapo upinzani watakapo chukua madaraka ya hii nchi. Kwani ninaamini watu wasiojulikana wana kutamani sana. Nakusihi sana utumie media zingine pia ambazo Watanzania wengi zaidi wataweza kufikiwa na...
  2. E

    Kosa kubwa sana CHADEMA wamefanya kusema Serikali ndiyo iliyomshambulia Tundu Lissu bila ushahidi wowote!

    Tuliambiwa kuwa Mh. Lissu alipigwa risasi katika eneo wanaloishi viongozi yaani wabunge, mawaziri na naibu Spika. Je wakati risasi zaidi ya30 zikipigwa walinzi wa eneo hilo la viongozi pale area D Dodoma hawakusikia milio ya risasi? Na kama walisikia walichukua hatua gani? Mimi nashauri tupate...
  3. E

    CHADEMA inavyonufaika na watu smart

    Everything happens for a reason. Utukufu wa Mungu utaonekana katika tukio la Tundu Lissu
  4. E

    CHADEMA inavyonufaika na watu smart

    Hongera sana mkuu kwa uchambuzi yakinifu. Maandiko matakatifu yanasema mwenye haki Mungu anamstawisha kama mtende. Hivyo tutarajie kuona CHADEMA kikiendelea kustawi siku hadi siku kwa kuwa ni chama kinachopigania haki kinyume na CCM.
  5. E

    Waumini wa dini ya kiafrika kufanya kafara dhidi ya wahalifu wa Lissu

    Watu wasiojulikana waliokuwemo humu wamepunguza uchangiaji baada ya kusikia Albadir itasomwa. Chezea Albadir wewe!!
  6. E

    Polisi wamewakamata wanachama wa CHADEMA waliojitokeza kuchangia damu Temeke hospitali leo

    Mkuu G4rpolitics, Mh. Tumaini Makene amethibitisha tukio hili kutokea
  7. E

    Polisi wamewakamata wanachama wa CHADEMA waliojitokeza kuchangia damu Temeke hospitali leo

    Nimepigiwa simu na jamaa nimepewa taarifa hizi. Niko mbali na eneo la tukio mkuu. Ndio sababu nimeomba kama kuna mwenye taarifa za uhakika juu ya jambo hili humu ndani atujuze
  8. E

    Polisi wamewakamata wanachama wa CHADEMA waliojitokeza kuchangia damu Temeke hospitali leo

    Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasema wanachama wa Chadema waliojitokeza leo asubuhi Temeke hospitali kwa lengo la kuchangia damu wamekamatwa na polisi. Mwenye taarifa zaidi juu ya tukio hili naomba atujuze. Naomba kuwasilisha. ====== Wakati huo huo Jeshi la Polisi Wilaya ya Temeke...
  9. E

    Familia ya Tundu Lissu yapingana na CHADEMA sakata la yeye kupigwa risasi

    Walinzi wa eneo la nyumba za viongozi pale area D baada ya kusikia milio ya risasi walifanya nini? Wao sio suspects no 1?
  10. E

    Baba, Mtoto wako mtundu, amejisaidia mkononi, Je, utaukata au kuusafisha na kumsafisha?

    Yesu ndiye daktari mkuu. Atamponya mgonjwa wetu Tundu Lissu. Tuongeze maombi
  11. E

    Baba, Mtoto wako mtundu, amejisaidia mkononi, Je, utaukata au kuusafisha na kumsafisha?

    Jitegemee wewe ni gamba. TL haugui malaria mpaka apelekwe muhimbili.
  12. E

    Waliomshambulia Tundu Lissu kusomewa albadili kesho!

    Ni heri wachawi kuliko watu wasiojulikana. Kama albadili itaweza kuwamaliza watu wasiojulikana ni vema hii kitu ifanyike tena haraka. Watu wasiojulikana ni miongoni mwa watu wanaopinga albadili isisomwe. Wasipewe nafasi
  13. E

    Hawatafanikiwa kutuchonganisha na RAIS wetu kwa mbinu ya kumuua Tundu Lissu

    Waliotajwa tajwa kwenye repoti za Almasi na Tanzanite walitakiwa wajiwajibishe. Na wanaotajwatajwa kuhusika na tukio la Tundu Lissu nao waanze kuwajibika. Ili wapishe uchunguzi
  14. E

    Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

    Slaa agombee kwa tiketi ya ccm kwani yeyeni mwana ccm. TL ndio Chadema halisi na hamuwezi kumuua kama ambavyo mmeshindwa, aibu juu yenu. Mungu ndiye mwenye maamuzi ya mwisho juu ya uhai wa mtu sio ccm. Labda niwakubushe au kuwajulisha ambao hawajui maandiko matakatifu yanasema "Mtu anayetenda...
Back
Top Bottom