Habari wadau,kwa wale wanaohitaji nguo za mtumba kwa bei ya jumla pamoja na rejareja tuwasiliane 0659965555.Tupo dar es salaam,na kwa wale mliopo mkoani pia tunakutumia mzigo kwa bei poa sana.Kujionea sample ya nguo ingia kwenye instagram page yangu"essy_fashions"
utofauti upo zaid katika utendaji dada yangu,sipingani na wewe kwamba mtaani wapo wengi lakini kikubwa tu ni kwamba ni kitu ambacho nimekisomea na nina uwezo wa kukifanyia kaz.Pia nashkuru kwa kunipa angalizo kuhusiana na taarifa zangu muhimu nilozituma natumaini haitajirudia tena.
kuhusu...

Habari zenu wadau.naitwa Ester Nyagawa natafuta kazi.profession yangu ni IT.nina diploma ya COMPUTER SCIENCE IN ENGINEERING.Kwa yeyote atakaekuwa na taarifa kuhusu kazi naomba ani PM kwenye namb 0659965555.na nitatuma cv yang kupitia barua pepe kwa yeyote etakaehitaj niitume.asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.