Recent content by Estate Dsm

  1. Estate Dsm

    House4Rent Nyumba vyumba 2 inapangishwa Mbezi Beach

    Kodi Tshs laki 3.5 Kwa Mwezi. Ipo ndani ya Fensi, Maji ya dawasa, Parking kubwa na luku yako. Nyumba Ipo jirani na kituo cha daladala ( Kwa Mguu dakika 3 ) Tuwasiliane: 0686648630 au 0675107182
  2. Estate Dsm

    Chumba na sebule kinapangishwa Mbezi Beach

    MbeziBeach Shule
  3. Estate Dsm

    House4Rent 2-bedroom apartment inapangishwa

    Kuna watu wanaishi hapo!
  4. Estate Dsm

    House4Rent 2-bedroom apartment inapangishwa

    Picha za nyumba
  5. Estate Dsm

    House4Rent 2-bedroom apartment inapangishwa

    Hii hapa Inapangishwa -Goba senta Vyumba2, kimoja Masta, Sebule, Choo ndani na jiko. Nyumba mpya, Maji yapo, Luku yako, parking ya gari. Kodi laki 3/Mwezi Mawasiliano: 0686648630
  6. Estate Dsm

    House4Rent 2-bedroom apartment inapangishwa

    Sinza nyumba mbovu pesa nyingi, kuishi pazuri Kuna raha yake
  7. Estate Dsm

    Chumba na sebule kinapangishwa Mbezi Beach

    Kodi ni Tshs 150,000/Mwezi
  8. Estate Dsm

    Chumba na sebule kinapangishwa Mbezi Beach

    Chumba chenye hoo ndani na sebule. Nyumba ina tiles, maji ndani na fensi. Kodi laki moja na nusu kwa mwezi Tuwasiliane: 0686648630
  9. Estate Dsm

    House4Rent 2-bedroom apartment inapangishwa

    Karibu mkuu Uishi Salasala Upate hewa ya Kutosha toka bahari ya indi
  10. Estate Dsm

    House4Rent Chumba kinapangishwa

    Kuishi Ushuani Kuna heshima yake
  11. Estate Dsm

    House4Rent Chumba kinapangishwa

    Ipo bado
  12. Estate Dsm

    House4Rent 2-bedroom apartment inapangishwa

    Vyumba 2 (Kimoja masta), sebule, choo cha ndani, jiko. Ipo Salasala, Kwa Mtenga. Kodi laki 3/Mwezi Wasiliana: 0686648630 / 0675107182
  13. Estate Dsm

    House4Rent Chumba kinapangishwa

    Chumba kimoja kinapangishwa. Ndani ya fensi, choo nje (wanachangia wawili) Bei: Tshs 100,000 kwa mwezi Mahali: Mbezi Beach Samaki Wasiliana: 0686648630 au 0675107182
  14. Estate Dsm

    Mpangaji wangu kashindwa kunilipa kodi

    Umejitahidi Kuwavumilia, Miaka 2 sio midogo Mkuu, ata ukiwatimua hautakuwa umetenda dhambi
Back
Top Bottom