PUNGUZO LA BEI.
Tunapenda kukujulisha kuwa katika kufunga mwaka, sasa utapata VFD kwa 250,000 tu. VFD ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi popote pale ulipo.
Faida zake.
Znakubalika 100% na TRA.
Zinatoa risiti za VAT na zisizo VAT.
Zinafaa...
TRA yeye anahusika na mapato kodi, umeingiza shiling ngapi unatakiwa ulipie shiling ngapi umeingiza kwa kufanya biashara gani hiyo ni ishu nyingine ambayo iko chini ya haashauri ambayo inakupa kibali au Leseni ya kufanya biashara fulani ila wanashirikiana.
Halmashari ndio watakuuliza...
Yes ila 250,000 hiyo ni complete na printer yake Kuna wale wengine wateja wao sio mpaka uwapatie risiti ya karatasi yaan unweza kuwatumia kwenye simu hiyo hauhitaji printer ni system peke yake ambapo bei yake ni 150,000 tu.
Bei kwa sasa ni 250,000 hii ni Ile ambayo hautaambiwa baada ya mwezi ulipie au limit yoyote katika utumiaji. Mahitaji ni kuwa na TIN ya biashara na Kitambulisho cha mkurugenzi au chako mwenye TIN.
Mhimu: Uwe unefanya makadilio hii itarahisha sana ndani ya siku moja unaweza kufanikisha kuwa na...
Ndio zinakuwa connected na TRA na kwa sasa TRA Watahitaji kujiridhisha kama kweli wewe ni muhusika,
Iko hivi.
Kipindi cha nyuma tulikuwa tunafanya wenyewe kila kitu mwanzo mwisho yaan unatupatia TIN na kitambulisho kiash tunakuletea mashine ikiwa tayari, ila Kuna watu wakawa wanatumia...
VFD ni mfumo au App ambayo inakuwezesha kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi system hii inakuwezesha kutoa risiti ya softcopy na Hardcopy, kwa Hardcopy unatumia mashine ndogo Thermal printer ambayo unaiunganisha na simu kwa kutumia bluetooth na USB kwenye PC.
Sasa kila kitu uwa...
Yes lazima upate hela mkuu, kuendesha system ambayo angalau ina watumia 10,000 na angalau 1000 wako active kila wakati na system isizidiwe sio rahisi mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.