Recent content by Esmile98

  1. Esmile98

    Jambo; nahitaji kuku aina ya kuchi

    Upo WAP mkuu
  2. Esmile98

    Naombeni msaada kwa wafugaji wa Kuku wa kienyeji..

    Mimi ni mfugaji mdogo kitu kinacho niumiza ni aina gani ya chakula natakiwa niwapatie vifaranga. *naitaji kufahamu magonjwa ya Kuku na dawa ambazo natakiwa niwapatie vifaranga *vifaranga vinakuwa kama vimevaa koti den vinakufa he huu ni UGONJWA GANI.? *napia napenda kujua kama...
  3. Esmile98

    Jinsi ya kuandaa viota

    Jinsi ya kuandaa viota vya kuku Kuku anapotagia porini, mayai huliwa na wanyama kama vile nyoka na wengineo. Kuku pia anaweza kudhuriwa na wanyama hao na wakati mwingine kuibwa. Viota ni mahali ambapo kuku hutaga mayai, kuhatamia na kuangua vifaranga. Hii inamaanisha kuwa viota ni sehemu muhimu...
  4. Esmile98

    Jambo; nahitaji kuku aina ya kuchi

    Mnauza kuanzia wangapi je majike mnayo au ndo MNA mdume tupu.? Kama nikiitaji vifaranga naweza pata.?
  5. Esmile98

    Jambo; nahitaji kuku aina ya kuchi

    Mi nipo dar je nitawapataje
  6. Esmile98

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kaka kabota big up kaka umenipa somo la kutisha
  7. Esmile98

    Jambo; nahitaji kuku aina ya kuchi

    Naitaji mtu anae uza vifaranga,jogoo,mtembe au mayai ya Kuku aina ya kuchi tuwasiliane...
Back
Top Bottom