Recent content by esmaely

  1. esmaely

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hili tangazo la mafunzo ya afya

    Wakuu naomba kueleweshwa juu ya hili lililotolewa na wizara ya afya 2014/2015 mbona sijaona nafasi ya clinical officer au mwaka huu hakuna nafasi hizo naomba wakuu mnieleweshe
  2. esmaely

    JamiiForums Tanzania msaada

    wakubwa naomba kuuliza nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata div 3 ya 30 naweza kupangiwa shule form 5 english B kiswahili C history D physics D chemistry D biology C mathematics E geography D civics C na piah kama nikikosa nafasi advance naweza kusomea clinical officer
  3. esmaely

    JamiiForums Tanzania Nauza modem ya tigo

    nauza elfu saba ya tigo
  4. esmaely

    JamiiForums Tanzania Nauza modem ya tigo

    wakuu nauza modem ya tigo type huawei bei chee nipo dar nitafute kwa nambari 0715959299
  5. esmaely

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi point anaweza soma diploma clinical officer

    Wakuu me nimepata biology C chemistry D physics D english B na math E nimemaliza mwaka jana naomba kuuliza naweza kusomea clinical officer na michakato ya kupata chuo naanzaje naomba msaada wenu
  6. esmaely

    JamiiForums Tanzania Meseji toka tiGO kuhusu modem zao na punguzo la bei, hii ipo vipi wadau?.

    Me hata ciijui nimepatiwa na best yangu
  7. esmaely

    JamiiForums Tanzania Certificate na Diploma ya Afya

    Wakuu me nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata Biology C Chemistry D Physics D Kw naweza kutuma maombi ya kusomea clinical officer na nitaombaje nafasi naomba mnisaidie
  8. esmaely

    JamiiForums Tanzania Meseji toka tiGO kuhusu modem zao na punguzo la bei, hii ipo vipi wadau?.

    Me Nina modem ya tigo nauza elfu kumi 0715959299
  9. esmaely

    JamiiForums Tanzania Hivi muda wa kuapply vyuo vya afya bado jamani?

    Kw certificate and diploma
  10. esmaely

    JamiiForums Tanzania Hivi muda wa kuapply vyuo vya afya bado jamani?

    wakubwa me ni kijana nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimepata division three ya point 30 naomba kujibiwa kuwa naweza kupata chuo cha serikali kujiunga na kozi ya clinical officer nimepata biology C chemistry D physics D maths E English B
Back
Top Bottom