Recent content by eskobas2016

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

    ulitakiwa uulize sababu na siyo kusema eti haina faida, kama umeenda shule utakubaliana nami kuwa waalimu huwa wanasema always hakuna swali lisilo la maana, hence hata hili lilikuwa na maana na faida kwa aliyeuliza.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

    siyo kila ambacho hakina faida kwako basi na wengine kama wewe, hujui kwamba kwa mwingine sumu ila kwa mwingine dawa, jifunze kuandika kiustarabu. am out
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo ndugu zangu kuhusu maisha

    kweli kaka nimejenga chumba na sebule na choo changu and naishi hapa nikijipanga kujenga kwangu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo ndugu zangu kuhusu maisha

    duuuu brov wanikumbusha hiii. thank u
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

    kivipi mkuu ila naona tumbo kama bado kubwa na nikimuuliza anadai ni unene tu kanenepa ila nimepima mimba hana na mstari wa tumbo uko sawa.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

    hasante sana kaka kwa ushauri, yaani kwa hizi siku mbili sikuongelea lolote kuhusu hayo mambo na naona mara naoshwa miguu mara aniulize kama nataka scrub ya uso, ila ukweli bado moyoni naumia na nataka kujua ukweli
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

    hasante mkuu kwa ushauri ila ukweli inauma sana na inaondoa uaminifu wote
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

    napenda kujua tu then nitapata maamuzi baada ya kujua ila mstari nimeshacheki na hana na nimekwenda kucheki hospital hana mimba ila ninachotaka kujua je alitoa kwani yeye anadai hakuwai kutana na mtu yeyote
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mpenzi wangu alitoa mimba

    Natumai mko wazima wote, jamani hapa kidogo nimetatizwa jinsi ya kujua kama mpenzi wangu ametoa mimba wiki tatu zilizopita kwani jinsi anavyo behave kidogo simuelewi na utaalamu huo wa kujua kama ametoa ama la sina je nitajuaje?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

    ila issue nitajuaje kama alitoa
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

    hili nalo neno, yawezekana ni kweli ila kujua ndo ngumu na sijui nitajuaje hapo
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

    ohoo sorry dada, hasante kwa ushauri
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

    hasante kaka kwa ushauri ila amekubali nataka kuanza nae pale ocean road kuchek kama yuko poa upande wa kansa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

    ila hakuwa anatumia dawa za uzazi wa mpango according to maelezo yake kwa miaka mitatu ila ngoja nikajaribu ocean road
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

    toka nimeanza mchezo huu sijawahi jisikia napwaya kwa mwanamke
Back
Top Bottom