Dah,,, nashukuru Sana kwa kunipa mwanga zaidi,naomba unijuze mkuu Mimi nauza korosho zilizookwa yaani mteja alichukua ni Kula tu na Nina ujazo wa kg1,nusu na robo.Naomba mawili,matatu kwani nipo kwenye mpango wa kuinua mauzo yangu[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu unipatie korosho za brown (kuoka) tamu na zenye ubora,Tsh. 28,000 kwa 1kg, nusu kilo Tsh.14,000 na robo kilo Tsh. 7,500 ,kwa Dar deliver ipo na mikoani utatumiwa, tupigie 0755931083
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.