Recent content by Esearch

  1. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Duh. Mbona Hii kasi haifiki maeneo ya twiga na tembo wetu wanakohifadhiwa nahisi napo huko kuna majipu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa akutana faragha na Mzee Warioba

    Makondaa ....
  3. E

    JamiiForums Tanzania Facebook multi page/Group poster

    Mdau naweza ona kazi zako
  4. E

    JamiiForums Tanzania Facebook multi page/Group poster

    Nataka nitengeneze free Facebook business page kwa hiyo naomba mtaalamu Wa hizo mambo
  5. E

    JamiiForums Tanzania Facebook multi page/Group poster

    Hivi nawezaje kupata followers wengi kutoka magroup ya Facebook nje ya nchi, kwani nataka kufanya internet marketing ya biashara zangu .
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumsajili kwa baba mwingine mtoto aliyekataliwa na baba yake mzazi

    Paulo. Trust me watu wengi huwa tunaingia kwenye ndoa tukiwa na positive mindset kwa maana yakwamba hatufikilii tunaweza achana tena wakati Wa ndoa huwa tunaapa kufa nakuzikana lakin badae upepo huwa unabadilika na unashangaa unaomba expired date ya ndoa haraka iwezekanyo. Kwa mantik hiyo basi...
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumsajili kwa baba mwingine mtoto aliyekataliwa na baba yake mzazi

    Haya sawa pata Picha Leo mtoto kabadilishwa jina baada ya Mwaka likatokea lakutokea jamaa akatangulia Mbele za Khaki(hatuombei iwe) then mama kabaki baada ya Mwaka tena mama akapata bahati ya jamaa mwingine anataka kumuoa nae with the same conditions za kubadili jina, Sawa sasa huyu Dada...
Back
Top Bottom