Startime mna tatizo ghani mbona mlikuwa Bora na Sasa huduma dhaifu mfano mimi nipo Moro Leo ni siku ya Tano Toka nimelipia huduma zenu sipati Chanel ya Aljazira,AMC movie,E.ENG,,NGW E,CGTN DOC,ST SPORTT PREMIUM,ESPN,ESPN2,CGTN,BBC WORLD,TRACE MZIKI Chanel zingine zipo mara hupati tatizo ni kitu...