Recent content by Escabar jini

  1. Escabar jini

    Wasanii Wanatumia Program Gani Kuweka Wimbo Unaimba Huku Kama CD Inazunguka na Equalizer Zinapanda na Kushuka Wakuu?

    hata simu inaweza Washa mziki kwa player unayoona inaweza kuweka picha kama ya CD,,,, washa screen recorder acha nyimbo iimbe hadi mwisho.. stopisha sreen record chukua hiyo video nenda nayo hata inshot alafu crop size unayotaka. Toa sauti ya video weka audio yenye quality save kazi imekamilika...
  2. Escabar jini

    Kuna ukweli wowote kwenye hili?

    Alooo asante kwa elimu hii imenipa uelewa Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  3. Escabar jini

    Kuna ukweli wowote kwenye hili?

    Ohooo sawa mkuu Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  4. Escabar jini

    Kuna ukweli wowote kwenye hili?

    Kijiwe flani ivi mada haijawahiisha kila mmoja anatetea upande wake Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  5. Escabar jini

    Kuna ukweli wowote kwenye hili?

    Ko kunaukweli kua itatangulia spacio Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  6. Escabar jini

    Kuna ukweli wowote kwenye hili?

    nifundisheni ni land cruiser gan inahiyo 1Hz Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  7. Escabar jini

    Kuna ukweli wowote kwenye hili?

    Habari wana forum nimekuja na hili swala kama nilivolikuta sehemu watu walikua wanabishana uwezo wa engine za toyota 1hz na 1Nz mada ilikua ni kwamba gari zenye hizo engine zikikaa rami zikianza safari pamoja basi mwenye 1nz atamuacha 1Hz na gari zenye hizo engine ni landcruiser j70 ina1HZ...
Back
Top Bottom