Recent content by erythromycine

  1. E

    Iringa Mjini: Makamu Mwenyekiti BAVICHA, Patrick Ole Sosopi akamatwa na Polisi

    Aliambiwa na nani aende kusalimia wagonjwa wetu, amewapa mini sasa bora akamatwe maana ameenda kuwadistabu bure.
  2. E

    King Msukuma Mtetezi wa Bange na Mirungi Bungeni live now star TV ona

    Yaani ameambiwa why mkoa wa geita ni miongoni mwa mikoa masikini? Anaelezea maisha take jinsi alivyotapeliwa duuuuuuh hatari
  3. E

    King Msukuma Mtetezi wa Bange na Mirungi Bungeni live now star TV ona

    Ila ccm tuwe makini maana wenxetu wa chadema wamejaa Vitabu, ona msukuma anatuaibisha Sana'a. Nduhu moi untwe gope pyeee
  4. E

    Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

    Itabidi uchunguzwe utajiri wako kama uliupata kwa njia sahihi maana kuunga mkono mafisadi lazima na ww use fisadi
  5. E

    Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

    Wako sasa kabisa maana ukiwa unamkumbiZa sungura na akaingia kwenye kichuguu utabaki nje ukilinda ili akitoka tu upige kichwa.
  6. E

    Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Kama uprofesa ndo huku wa lipumba basi mm bora niwe na darasa language LA saba tu linanitosha kug' amua mambo
Back
Top Bottom