Hatuna haja ya kuwalazimisha chadema wafanye haya yanayotakiwa kufanyika sasa, ni watu wanaojielewa sana na ndio maana hata haya maamuzi waliyochukua hatukuwashawishi sisi wana jf. Tungoje kusikia tena kutoka kwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.