Hii ni kwa faida ya afya yako na kila anaekuzunguka. Wahenga waliwahi kusema "Mazoea hujenga tabia" nayo tabia hukua kulingana na wakati bila kujali athari zake.
Leo hii naomba niseme nanyi juu ya mazoea ambayo watu wengi tumeweka kwenye suala la zima la afya husysani kwenye matumizi ya madawa...
naombeni kura zenu
Nina makala zangu tatu zenye majina PENI NA JEMBE VISHIKWE PAMOJA, TIBA HALISI NI KUBADILI MFUMO WA MAISHA na SULUHISHO LA TATIZO LA AJIRA
Naombeni kura zenu
Makala zangu zimegusa nyanja za maendeleo ya Kilimo Tz, kuhamsisha vijana namna wanayoweza kuondokana na shida ya...
Lakini pia kwenye kundi hilohilo la watu wenye hali duni wapo wenye changamoto za kiafya kutokana na mfumo waliouchagua
Changamoto kwa wengi ni wanaacha kuchagua mfumo ulio bora kwa afya zao badala yake wanachagua mfumo unaoonekana kuwa bora kwa watu
Mtu anaona akiwa na hela ili aoneshe watu...
Naombeni kura zenu hii ni makala inayolenga kuleta mabadiliko chanya kwenye fikra za vijana ili kuweza kubadili mifumo ya kimaisha na kuepuka maradhi yasiyo ya kuambukizwa ambayo yameendelea kumaliza watu wengi sana duniani kama vile shinikizo la damu, kisukari na kansa
Mpaka sasa nchini mwetu kuna tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira, ni ukweli usiopingika kwamba hakuna taifa lolote duniani sio hata Marekani inayofahamika kuwa na maendeleo makubwa yenye uwezo wa kuajiri watu wake wote, isitoshe watu hawa wasio kwenye mfumo wa ajira za serikali wanahitajika...
Mpaka sasa takwimu zinaonyesha ongezeko la vifo katika umri mdogo na milipuko ya magonjwa hatarishi vimeendelea kuongezeka kwa kasi kubwa sana kote duniani, ila changamoto kubwa zaidi zimekuwa zikiyakuta mataifa ya dunia ya tatu yaani "Third world countries" kwa lugha ya kighaibu ikimaanisha...
Kwa kitambo sasa nchi yetu imekua ikiamini kuwa kilimo ndio uti wa mgongo kwa ukuaji wa uchumi wa taifa letu. Lakini vijana wengi bado wanakosa moyo wa kuamua kufanya kilimo.
Kila kukicha tunasikia vilio juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana, kutwa vijana hawa wanazunguka na bahasha mitaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.