Recent content by ERNEUS

  1. ERNEUS

    TCRA: Watumiaji wa simu feki wapungua

    TCRA : Watumiaji Simu FEKI wazidi Kupungua Kutoka asilimia 30 hadi 13 MPEKUZI / 4 hours ago Kadri siku ya kuzima simu feki kote nchini inavyokaribia imebainika kuwa wanaozitumia wanazidi kupungua nchini. Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
  2. ERNEUS

    Mnaosubilia CSEE RESULT 2013 checkin hapa.

    Ni kweli wakuu sio kulaumu necta ,hasa sialala kasahihisha na kupanga ,inahitaji umakini kwa kweli na sio kikulpuka tu isije ikatokea maafa kama ya mwaka jana
  3. ERNEUS

    Msaada wa kufahamishwa kiwango cha ada za veta.

    Dah ngoja nami nijiunge na veta tu maana ada ni raisi muno japo nafasi zinachagua mashine maana kusomea fakati nyingi ni kujiwekea hazina kichwani na hivyo byo vipo wapi wakuu?
  4. ERNEUS

    Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

    Dah wakuu ni kweli matokeo ya form 4yanatoj kesho naomba jibu wakuu
Back
Top Bottom