Recent content by ernestanthony

  1. E

    Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

    Hii ni mala ya 5 natumia simu yangu kujiunga na hiyo ya 400mb kwa tsh2500 lakini imegoma naambiwa ongeza salio na jaribu tena. salio langu bado ni 2500/= sasa hiyo mnayoisema inakuwaje kwangu haiwezekani!!!
  2. E

    Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

    Au labda lazima kwenye simu uweke zaidi ya sh 2500 ndo ikubali kukata 2500/= mb 400?
  3. E

    Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

    Sasa hivi gharama ya chini kabisa airtel bundle ni sh. ngapi ile ya mwezi? maana hapa naona 25mb (tsh1500), 150mb=6000/=, 250mb=10,000/=, 500mb=12,000/=, 1gb=15,000/=.
  4. E

    Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

    Ndugu zangu, mi sifahamu rabda kila simu ina utaratibu wake, maana huyu aliyeandika kuwa ametuma internet kwenda no. 15444 akapewa mb400 sijui amefanyaje? mimi tangu juzi tar.14 hata dakika chache zilizo pita nimejaribu nikaambiwa sina salio la kutosha kujiunga na internet wakati limo salio la...
Back
Top Bottom