Ni wamasai tu ati. Walipokamata Ile fiongosi etu nyingine bila makosa, wakahamishia yeye karangai. Serkali achia sabaya na fiongosi yetu. Mungu wa Babu setu anaona hii suluma ati.
Tatiso ya sabaya ni kutetea wamasai. Hamna tatiso ingine. Kama ni makosa makonda iko wapi, na Gambo iko nyumbani yake na fiongosi fijana mingi. Sabaya iko mageresa kwa ajili ya wamasai
Shiye wewe ni Kassim Nasri? Kama hii kijana ina makosa kwanini nyie mnatishia wale washtakiwa wensake Ili waandike barua moate mashaidi. Kwanini mlimwambia lengai akubali makosa na akakataa
Nawasalimu kwa salamu ya jamuhuri yetu.
Vile kichwa cha habari kinavyojieleza, pamekuwa na matukio mbalimbali ya upotoshaji dhidi ya jamii ya kimasai na watu yake.
Tangu serikali ya awamu ya sita iingie madarakani ni manyanyaso tu, madhila, kudhalilishwa, kutishiwa na kuhamishwa kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.