Hivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint huwa anadai ni x-girl friend wake, ampigie simu,amtumie ela, amfanyie kazi zake za shule. anadai...