Tupo tofauti sana kama wewe unavyoniona mimi mjinga unaweza kusema lolote ila hakuna kitu kizuri kama amani unajisikiaje mtu ukimwambia jina lako anahamaki huko nida kwenyewe wanalishangaa pia nimeomba msaada wakufanya na sio kujaji maana kama ningelipenda nisingeomba msaada.🙏
Habari viongozi kijana wenu na shida moja.
Mimi ni kijana Mtanzania ,shida yangu ni moja, mimi naitwa Elieth jina la kuzaliwa nalo lakini tangu nakua hilo jina walikuwa wakiniambia ni la kike hata shule pia lilikuwa kwenye arodha ya wanawake, kibaya zaidi nimeenda kutengenezea kitambulisho cha...
issue ipo hivi (Bariki daudi godi)Hili ni jina langu la kuzaliwa (Joseph daudi godi)Hili ndio nimependa kujipa mwenyewe.Kwa sababu hili jina langu lakuzaliwa yanaendana na la kike sana lipo kikeni sasa mimi nimeona sio jambo jema ndio nikaanza kubadilisha kila document ninayosomea naandika jina...
Tofauti ipo hivi (barik daudi godi) jina lingine ni (joseph daudi godi) hilo la juu ni jina langu lakuzaliwa kabisa ila kutokana na hilo jina linafanania na lakike ndio nikaona nibadilishe ndio nikajiita hilo jina la pili.Ila hayo majina hapo sio ni mfano tu.
Ninayo hiyo huko kote nimeenda nashangaa nssf wamenikatalia nimeenda hapo ilala boma wakanikatalia wanasema nibadilishe kwenye vitambulisho chao vifanane na kwenye vyeti ndio ninapotaka kujua zaid kisheria imekaa sawa hiyo 🙏
Yah wengi wanasema hivyo ila naona
HR kaamuakunikazia tu maana hata michango alikuwa anatumia hilo hilo jina la tofauti na kwenye mkataba wake ila sasa hivi ndio naona anaijua sheria vizuri sijui alilala wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.