Daaaaah naamin mabadiliko yatakuwepo ila yatakua mabadiliko hasi....haiwezekan et mtu anaaid kumtoa babu seya.....babu seya ana faida gan kwa bibi yangu aliyepo uko makete vijijini!!!sema utatoa kwenye matatzo tuliyonayo babu seya hana faida kwetu...
Ni wakat sasa wa wakuacha kubisha mambo eti kisa tu yanatugusa moja kwa moja...iv ili suala la dr.slaa n la kubsha kwa nguvu zote kwel!!!hata km lkzo huu n wakat wa kupeana lkizo kwel!!!!!tena kwa mtu mhim km slaa!!tuache kubisha tu vtu et kisa vnatugusa moja kwa moja tukubalie tukatae kuna...
daaaa kweli kunya anye kuku akinya bata_ _ _ .....zitto alipoenda act na kukaa wiki kupewa uongozi wa chama mliongea kweliiii Leo Hi mtu cku moja tu na anachukua tu anachukua fom na mnampa ugombea uraisi mnaona kawaida Sanaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.