Mimi nimeagiza tv toka china na inakuja kwa njia ya dhl lakini nimesikia kabla ujachukua mzigo wako unatakiwa ulipie ushuru kwa TRA naomba kwa mtu anaefahamu kuhusu ushuru aniambie nitatakiwa nilipie shilingi ngapi kama ushuru kwa TRA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.