Recent content by Erasto Mbembati

  1. E

    JamiiForums Waziri wa Maliasili na Utalii tusaidie jambo hili

    Nalalamikia kufanya kazi kwa mazoea ambako hakuleti tija yoyote
  2. E

    JamiiForums Waziri wa Maliasili na Utalii tusaidie jambo hili

    Jana nimetoka Ifakara, Tulipofika Eneo la Ruaha tuliambiwa abiria wote tushuke kuna ukaguzi wa Watu wa Maliasili! Tulipo shuka Abiria wote Aliingia Askari wa Maliasili kukagua Mabegi yaliyopo ndani ya gari Askari huyu alitumia kama dakika tatu mpk tano tu kugusa gusa baadhi ya Mabegi akatoka...
  3. E

    JamiiForums Viongozi wa Dini tuwaelimishe viongozi wanasiasa kutosogelea Madhahabu wakati wa Ibada

    Nadhani tatizo lipo kwa viongozi wa Dini wenyewe wanajipendekeza kwa Viongozi wa Serikali,Kama kiongozi akija Ibadani na akafanya Ibada na kuondoka shida nn? Ni vizuri kila kitu kikichukua nafasi yake Vipngozi wa Dini naona ndio shida kukaribisha Viongozi wa Siasa wasalimie waumini,Halafu upo...
  4. E

    JamiiForums Msaada wa kulinda Ajira hizi Tanzania

    Ni kweli kiongozi hiyo changa moto kama wasajili tunaijua ipo,lkn kwa wengi wa sisi vijana ni waaminifu sana,ndio maana kama umesoma vzr hapo tumetoa na njia ya kudhibiti tatizo hilo kwa njia ya system! Lkn ukichosema ni kweli changamoto hiyo ipo lkn sio tatizo kubwa kulinganisha na manufaa ya...
  5. E

    JamiiForums Msaada wa kulinda Ajira hizi Tanzania

    Serikali yetu tunaimani itatusikiliza kilio hiki kama itaona kuna hoja
  6. E

    JamiiForums Msaada wa kulinda Ajira hizi Tanzania

    Habari, Mheshimiwa Rais,Waziri Mkuu & waziri wa Mawasiliano/Waziri wa ajira & Maendeleo ya Vijana 1. Sisi ni sehemu ya wajasiliamali tuliopata ajila zetu ambazo sio rasmi kwenye mitandao ya simu (Freelancer) Tulikuwa tunaomba msaada wako/ Wenu kutusaidia kurekebisha sheria mpya ya TCRA...
Back
Top Bottom