Recent content by Eras arid

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya Kazi, nina shahada ya Ualimu

    Kama Upo dar, onana na teachers junction wapo mapipa magomeni watakupa connection ya shule zenye uhitaji wa walimu. Nipm nikupe mawAsiliano yao
  2. E

  3. E

    JamiiForums Tanzania UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    Hat mimi wamewahi kunitumia email. Na kutaka kupima uwezo wa ubongo na kudai unatakiwa ulipe kwa ajili ya certificate, waongo sana hawa jamaa
  4. E

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Asante sn, japo bado sijajua tunatuma kwa njia ya posta? Na barua inapigwa muhuri na mtendaji?! Nieleweshe pls
  5. E

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Mimi natamani kujiunga na haya mafunzo, Niko wilaya ya ilala na Leo nimekwenda ofisi ya mkuu wa wilaya, nikaambiwa nisome ta gazo getini, tangazo linaonesha kua utaratibu utakapokamilika watapeleka taarifa kwa maafisa watendaji wa kata ndio watakaotueleza jinsi ya kuomba hizi nafasi, Je kwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uwalimu, nina Post graduate Diploma ya 'Education' ya History and Geography

    Sijajua unamaanisha nini, niwe flexible kivip??
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uwalimu, nina Post graduate Diploma ya 'Education' ya History and Geography

    Itakua kuna MTU kanisaidia kujibu
Back
Top Bottom