Recent content by Ephraim Fredrick

  1. E

    Uchumi wa Kati umeenda wapi?

    Watanzania mnazungumza kuhusu ukabilaaaaa......[emoji849][emoji849]
  2. E

    Nifanye nini ili niweze kupata kipato cha ziada nimudu gharama za masomo?

    Asante sana mkuu wakati najiunga hii forum nilitarajia nitakutana na watu waelewa na wenye msimamo wa mabadiliko makubwa kwa jamii na taifa kwa ujumlaa kama wewe bro lkn nishaona kumbe hadi huku wasokuwa na utashi wapo badala mtu akukosoee na kukushaurii anatupa madongo tuu ..........
  3. E

    Nifanye nini ili niweze kupata kipato cha ziada nimudu gharama za masomo?

    Ok thans alot nakili nimekosea kuandika tyuu badala ya tu lakini typing error zipo tu maana hata wewe ushaandika NDII Badala ya NDIO kwahiyo tuseme una mambo ya kike siyo?????
  4. E

    Nifanye nini ili niweze kupata kipato cha ziada nimudu gharama za masomo?

    Mimi ni mwanafunzi wa Degree mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Ushirika Moshi. Ni mnufaika wa mkopo kutoka Board ya mikopo lakini nalipiwa laki 4 tyuu kwenye ada ya masomo ambayo jumla ni Milioni 1 laki 1 Sina support kutoka uoande mwingine wowote Je nifanyeje niweze kukidhi mahitaji ya ada...
Back
Top Bottom