Ukiacha ku view matter kwa jicho la God and Saturn utaelewa ninachomaanisha. Try to fact issues instead, Tumefundishwa kwamba Imani hai hitaji fact ila uki speculate through fact utanielewa na utaelewa nini kinaendelea ulimwenguni kwa sasa. There are deep facts kwenye God and Saturn issues...
Hii ni zaidi ya Mythological legend, Sema tunahitaji details zaidi za uyu mwamba. Kwa kawaida wasukuma kipindi hicho hata sasa wanafanya polygamy sasa uyo Baba ake hakuwa na wake wengine?
I dont deny they are evil and intend to control the will of man, all their blood sacrifice and manipulation of the future of the society have far deeper meanings. Besides hata kwenye African cultural practice kuna haya mambo ya blood sacrifice back then Christianity and Uislam had blood...
Inaitwa secrete society for a reason, tafuta data zaidi biasness na kutokuwa na open mind ndo kunafanya mfikie shallow conclusions kama hizi. Most of what you speak of hapo ni kitu ambacho yeyote anaweza kuongelea. Knowing their symbols and where they may be found kwenye jamii za sasa sio kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.