Recent content by entrepreneur2005

  1. E

    Bei elekezi kwa Cement 42.5 kwa Dar inawatajirisha Mawakala wa cement

    Serikali imeweka bei elekezi kwa cement kwamba isizidi 15,000 kwa mfuko mmoja. Bei hiyo haijalishi ni cement aina gani. Kuna aina kuu mbili zinazouzwa ambazo ni 42.5 na 32.5. Kwa wajenzi wengi cement ya 42.5 ndio inapendwa lakini bei yake ipo juu. Kwa wauzaji wa rejareja bei elekezi ya 15,000...
Back
Top Bottom