Recent content by Entrepreneur

  1. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia matembezi ya amani ya BAWACHA Dar es Salaam

    Maandamano ni moja wapo kati ya haki za msingi za raia, kuyakataza bila sababu ya msingi, au kwa sababu yameandiliwa na vyama shindani si sahihi. Ndio maana sasa raia wanataka serikali itakayowajibika kwa wananchi na si wananchi kwa serikali
  2. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Marufuku. NEC yasema hairuhusiwi kulinda kura mita 200, kuvaa sare

    Kwani sheria inasemaje?? Watu wameshajifunza na wanakumbukumbu ya mambo mliyoyafanya Mwaka 2010 kwenye majimbo mliyoshindwa!! Rejea yaliyotokea Ubungo, Arusha Mjini, Mbeya, Ilemela, Nyamagana n.k. Mwaka huu wananchi wameamka na vyama vimejipanga. Hata ule mpango wa Chadema FTP200 kwa kila kata...
  3. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Lowassa afuatwa na wezi wenzie

    Kama mnaushahidi wa wizi wao, mbona bado wako mtaani!! Kwa nini hamuwapeleki mahakamani wakati serikali mnaongoza ninyi??
  4. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Magufuli alisema tumhukumu kwa maendeleo aliyoyapeleka Chato, ili tuone kama hafai kumpa nchi. Sasa huu ni mrejesho mfupi wa yale tuliyoyaona huko; kwa kweli Magufuli amejitahidi sana kuweka taa za barabarani japo hakuna magari yanayohitaji kuongozwa na mataa hayo. Mitaa mingi ya mjini imeweka...
  5. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Magufuli alisema tumuhukumu kwa maendeleo aliyoyapeleka Chato, il tuone kama hafai kumpa nchi Sasa huu mrejesho mfupi wa tuliyoyaona huko, kwa kweli Magufuli amejitahidi sana kuweka taa za barabarani japo hakuna magari yanayohitaji kuongozwa na mataa hayo. Mitaa mingi ya mjini imeweka lami, na...
  6. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Sasa kama mtu amekuwa mbunge kwa miaka ishirini na ameshindwa kutoa maji yaliyopo umbali wa mita kama 100 kutoka mjini, lakini leo anatuahidi kupeleka maji vijijini, (Tanzania nzima kwa miaka mitano). TUTAMWAMINI vipi???? Ndio hivyo tena HATUNA NAMNA NYINGINE
  7. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ukiona Taifa limefika mahali viongozi na wanasiasa wanategemea umaarufu wa wasanii ili kujiuza wakubalike basi ujue tumefika kwenye nyakati mbaya sana
  8. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Bado mapigo matano
  9. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Ninaheshimu mawazo yako mkuu, lakini ni vyema ukamuone mwalimu wako ili kujiongezea ufahamu wa namna Serikali inavyofanya kazi, hususani kwenye majukumu, wajibu na mamlaka ya Waziri Mkuu. Hata hivyo Sumaye hajasema ameleta mabadiliko. Yeye amekuja kuongeza nguvu
  10. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    Na bado. Yaan viwanda waviuwe wenyewe halafu leo wanataka tuwape credit kwa ahadi zao! Kweli tutasikia mengi kipindi hiki
  11. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Unadhani ni rahisi kufanya hayo mabadiliko wakiwa ndani ya mfumo uliopo. Amekwambia yeye alitaka kufuta nafasi za wakuu wa wilaya kwani hawana maana lakini system ilimzuia
  12. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Moto wa mabua, SASA UMEKUWA MOTO WA GESI
  13. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Hebu tujulishe mwenye impact ni nani?
  14. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Kwa habari zaidi katika picha bonyeza HAPA
  15. Entrepreneur

    JamiiForums Tanzania UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

    Gharama za ujenzi wa Bomba la Gesi zimeongezeka kwa zaidi ya tshs 210 bilioni!
Back
Top Bottom