Chuki zako tu ,siasa za kuchafuana,acha siasa za umalaya Malaya,unaandama Hela tu hamna Lolote unapewa Vocha ukachafue watu,pole sana acha kuandama hela tafuta hela kijana hauwezi kuona mwenye hela anakuwa mtumwa saka hela kijana tofauti na apo utakuwa Mzee mchawi
UNAFIKI,FITINA KWA MWENYEKITI UVCCM MKOA KAGERA
Tatizo la Vijana wengi wa siku hizi wamekuwa wa kutaka kuwa machawa wa viongozi hivyo anavyotokea Vijana wenye misimamo na kuchapa kazi lazima wamsimange na kumsema sana pia hawataishia apo lazima wamchonganishe tu na viongozi
Katika Taifa hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.