Recent content by enockkishere

  1. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    [emoji125] life tunazidi rahisishaa wacha nami nilahishishe may be nikachomoka kesho round 2
  2. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    [emoji85] Basi na Mimi watanikuta msange Tabora
  3. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Kwan umepimiwa mkoan au wilayan aseee
  4. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Mhh Kama unatumia form 4 ndugu labda utembelee nyota yako kwanza
  5. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Duu asee nafikir wanatuenjoy tu Ngoja nisikilizie na chaka jingine kesho
  6. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Kama na ili chaka likigoma bas yapasa niende jeshi la wokovu uko kuna nafasi za wazi Vigezo bible yako tu
  7. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Duu wakuu msera wenu wamenichinjia baharini Leo tena nchi kavu kisha Me nimezaliwa July 97 Eeh bhana Eeh tumekalishwa sana halafu SAA saba wanakuja kwa madoido sana speed 4G Tulikua nyom lakn uez amin kundi limepotea ghafla du Kwangu Mimi nambiwa nimezidisha miez minne so ingebidi labda niwe...
  8. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Usaili ilikuaje sisi ndio tunasubir sasa iv tumekalishwa
  9. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Wana jf nan ana tips kamili za usahili ambazo ni lazma zifanyke na ni vitu gan vinaweza vikasababisha usichukuliwe
  10. enockkishere

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupata mkopo huu apa chini ebu chekini wana jf

    Kwa tatizo lolote nichek
Back
Top Bottom