Recent content by eno masa

  1. E

    Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    naomba niangalizie ENOS PETER mkuu
  2. E

    wanaosoma butimba TTC

    naomba kufahamishwa uwezekano wa kuhamia butimba ttc coz nimeambiwa niulzie kama kuna population kubwa ama la plz nambien kama chuo kmejaa au bado kuna nafasi mimi nipo kasulu
  3. E

    msaada liti mpwapwa!

    yes,rafk yang amemalza mpwapwa mwaka huu kanambia wale govonment sapoted wanajtegemea chakuka tu
  4. E

    msaada liti mpwapwa!

    kwenye fomu ya maombi kulikua na analysis ya fee structure iliyoeleza kila k2,we ulchkua form gan?
  5. E

    Je kuna uwezekano mwalimu wa diploma kuomba degree ya pharmacy?

    wana jf naombeni mnijuze kama inawezekana mwalimu wa diploma masomo ya chemistry na geography kuomba degree ya pharmacy na atatumia matokeo au cheti gani pindi aombapo?ufafanuzi plz
  6. E

    msaada ndugu KASULU TEACHERS COLLEGE

    fungua United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training utakuta jina la chuo na join yake download.mwisho wa kuripoti tar.25/8
  7. E

    wale wa kasulu teachers college

    nlitaka mawasiliano ili niombe ruhusa kwan nmechaguliwa huko na naona siku za kuripot zmebana kuliko uwezo wangu kfedha
  8. E

    wale wa kasulu teachers college

    kama kuna mtu aliye kasulu tc au amechaguliwa huko jamani 2wacliane nina shida.
  9. E

    kwa aliye mwanza na kachaguliwa kasulu teachers college

    nipo mkuu na wewe umechaguliwa huko?2wacliane
  10. E

    Inawezekana ukiripoti chuo cha ualimu baada ya tar 25/8 hupokelewi?

    Jamani wanajanv 2toane waswas juu ya hili maana wizara wametia mkazo kua ambaye ataripoti baada ya hizo tarehe hatapokelewa na mimi naona wengi wanategemea kuweka mambo sawa mwisho wa mwez huu na kuripoti mwez wa 9.
  11. E

    Kurudia Darasa

    It seems your brain contains a soil water there by does not function well,shortly, you are not educated,or,you are undergoing primitive evolution.kuwa makin kama huna constructive comments kalale.
  12. E

    Ni kweli chuo mwezi wa kwanza

    Jamani wadau naombeni mniweke wazi juu ya huu utata maana imekua gumzo sasa
  13. E

    am a new member

    nafurahi leo hii nami nimejiunga jf the home of great thinkers
Back
Top Bottom