Recent content by Ennnny

  1. Ennnny

    Miundombinu ya kuwezesha usalama kwa Watu wa Mbagala upoje?

    Hili swali ni la kiutafiti juu ya mamna ya kuboresh usalama wa maeneo kwanama ya kiujenzi kwa kuzingatia matumizi mazuri ya mwanga hasilia yani Jua na mwanga artificial
  2. Ennnny

    Miundombinu ya kuwezesha usalama kwa Watu wa Mbagala upoje?

    Hivi maeneo ya Mbagala, muda wa usiku kuna mataa ya kutosha mtaani au ni giza giza. Usalama kwa ujumla ukoje hususan maeneo ya ndanindani?
  3. Ennnny

    Wakazi wa Mbagala na tabia za ajabu ajabu

    Habari..Mi ni mwanachuo na somea mambo ya ujenzi.. na hivi sasa nafanya utafiti juu ya kuongeza usalama katika jiji kwa kutumia vizuri mwanga halisia(jua) na mwanga artificial katika mitaa yetu. Hivi kwa wenyeji wa mbagara, mda wa usiku kuna taa za kutosha mtaani au ni giza?..na Je mnahisi hili...
Back
Top Bottom