Recent content by ennaterry

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ikulu yakanusha Mshahara wa Rais Kikwete kufika dola 192,000

    Tumtoe kwa kumuingiza Lowasa, kisha ashitakiwe, Ni mhujumu Uchumi!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Dr. Slaa na Tido Mhando wa Azam TV

    Lowasa akiingia madarakani tutamvaa huko huko aje kujibu uwongo wake, Pia tunamtuhumu kwa kukipotezea muda chama cha Chadema, kumbe alikuwa shushushu wa maccm, Tutamshtaki, Pia huyo Josephine hataishi kwa Amani hata akiwa Marekani, afahamu Jicho la Mungu halikimbiwi!
  3. E

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Ni propaganda za uzushi Na uwongo, wakaombewe Na wao, ccm ziiiii, Pipooooz!
  4. E

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Uwongo wenu maccm!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Ukawa Mtwara mabomu yalindima

    Uwongo hakuna kitu kama hicho, no Vijana wa Ccm wamejipanga kuichafua Ukawa, waongo hawa!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Hakubaliki?' Hivyo nchi itawaliwe Na familia zilezile kila kunapokucha, wale wale ambao wazazi wao walisomeshwa na Kofi za wazazi wetu? Mnauye, Makamba, Kikwete, Mwinyi, Mkapa, Warioba, n.k? Wale wale, hakuna, tumeshtuka, Ukawa Hoyeeeeee!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

    Lowassa the smart guy, very handsam, & very intellgency!!!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mwaliko wa Dr.Slaa JF, kuzungumzia ufisadi wa CCM

    Hata hivyo dhambi hii ya usaliti ni mbaya sana Itamtafuna milele.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mwaliko wa Dr.Slaa JF, kuzungumzia ufisadi wa CCM

    Yes, Kama yy ni mwadilifu, azungumzie pia upande wa Ccm ambao ndo umezaa mafisadi.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Moshi Mjini: Davis Mosha(CCM) asema hatachukua mshahara wa Ubunge

    Kuna tetesi anafa nya biashara haramu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

    slaa yeye aendelee kubwatuka unafiki tu, Sisi mbele kwa mbele Lowasa tuuuu!
  12. E

    JamiiForums Tanzania CCM Ardhini vs UKAWA Angani

    Mwache ale vumbi, hana pesa!
  13. E

    JamiiForums Tanzania CCM Ardhini vs UKAWA Angani

    hana pesa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Futa huo usemi, maana utabaki Na aibu zako. Hakuna kusambaratika ndo kwanza tunaongezaka kila uchao! Eddo mpango mzima!
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kura yangu si ya majaribio…!!!

    Yes Lowassa toshaaaaaa!!
Back
Top Bottom