Haya niambie kati ya SDA's na nyie(Sunday keepers) yupi,ana"iacha amri ya Mungu na kuyashika mapokeo ya wanadamu"
Kwa sababu bible iko explicit inasema "ikumbuke siku ya sabato..." Lakini ninyi(mapokeo ya wanadamu) mwasema shika kitakatifu siku ya Bwana (Dominica/j,pili)
Nambiye wewe, yupi hilo...
Ahaa kumbe ndiyo annunak anazifataga🤣🤣🤣🤣,
Wewe matumizi ya gold hayapo limited to accessories ,gold pia hutumika in electrical appliances mfano hiyo smartphone yako,computer,some Usb cables, electrical connectors,internet cables etc, gold hutumika pia in medicine,sports and so on.
Kwahiyo...
Hayo umesema wewe mkuu mbona hujaleta reference yeyote kutoka vitabu vya SDA's vinavyoonesha kuwa wanaamini haki kwa sheria
SDA hawamix Sheria na Rehema na wanaamini 💯% juu ya wokovu kwa neema pekee(ref:SDA Beliefs by GCand Haki kwa imani by D.mateker) hakuna mtu atakaye hesabiwa haki kwa...
Sasa hapo ungechagueje uzaliwe wakati haukuwepo kabisa, suala la wewe kuzaliwa,wa kumlaumu (anayehusika) ni wazazi wako wala Mungu hana kosa maana aliwapa chaguo wazazi wako wazae au la,nao wakachagua kuzaa ndio ukatokea wewe
Actually Adam na hawa hawakuwa Zombies kana kwamba walikuwa kichwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.