JamiiForums Tanzania
Rita
Jaman naomba kujua kama huu ni utaratibu wa serikali au ni vipi katika kupata cheti cha mtoto, wakati napeleka docs kwaajili ya kupata cheti hakukua na mahali jina limekosewa,kila kitu kilikuwa sawa naa hata fumu nilipewa ilijazwa vizuri cha ajabu cheti kimetoka majina yamekosewa wakati...