Recent content by engmiddo

  1. E

    Naona vijana wa NACTE mko busy!!

    According to my experience mwaka Jana kuna dogo alichaguliwa sua baada ya kuja chuo kufanya registration Jina Lake halikuonekana chuon wakamuuliza kwenye account yake kama inaonesha amekua selected kuja sua akawaambia ndio then wakamwambia akafungue account yake then akatoe copy ya sehem...
  2. E

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Vijana mliochaguliwa agriculture engineering msitishwe nw watu jaman then mkatishika kumbuka shule n ngumu siku zote ila kuwa kwako makini na masomo ndo kumalza kwako salama just jiandae tu na masomo mambo n magumu sawa Lakini watu wanafaulu vzur tuu ila kama unakuja kuuza sura huku ndo mambo...
  3. E

    Karibu SUA usome Bachelor of Science in Bioprocess and Postharvest Engineering

    Historia fupi ya Shahada hii ni kwamba ilianzishwa hapa Tanzania katika chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine mwaka wa masomo 2010/2011. TCU iliwachagua Wanafunzi wapatao 25 kujiunga pale SUA katika kozi hii ambayo ni ya miaka minne kama zilivyo katika kozi nyingine za Uhandisi ila bahati mbaya ni...
  4. E

    BSc Bioprocess and Postharvest Engineering

    Short history ya hii degree program n kwamba imeanzishwa hapa Tanzania katika chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine mwaka wa masomo 2 010/2011. TCU iliwaselect wanafunzi wapatao 25 kujiunga pale SUA katika degree program hii ambayi ni ya miaka minne kama zilivyo engineering program zingne, ila...
Back
Top Bottom