Recent content by English Kona

  1. English Kona

    Jifunze kiingereza

    Verbs ( vitenzi ) Verb ni neno linalotaja kitendo , kwa mfano :- to do- kufanya , run - kimbia , sleep - lala , walk - tembea , hit - gonga ....n.k Verb inapokuwa kwenye hali yake halisi huitwa "infinitive " . Mara nyingi huwa inakaa mbele ya neno to . For example : She began to run (...
  2. English Kona

    Jifunze TENSES hapa

    IV.Present perfect continuous tense Tumeshasoma tayari " present perfect tense " . Sasa leo tuangalie " The present perfect continuous tense " . Present perfect continuous tense - nyakati hii hutumika kuonyesha vitendo ambavyo vipo katika hali timilifu inayoendelea ( Yani kitendo kilikuwa...
  3. English Kona

    Jifunze TENSES hapa

    III. Present perfect tense ( wakati uliopo hali timilifu ) The present perfect tense ni moja wapo ya nyakati muhimu sana ambayo unatakiwa kuifahamu wakati unapoanza kujifunza lugha ya kiingereza . Nyakati hii tunaitumia kuzungumzia mambo ambayo tayari yameshafanyika tayari ( au yameshakamilika...
  4. English Kona

    Jifunze kiingereza

    PRONOUNS ( VIWAKILISHI ) Haya ni maneno ambayo yanatumika kuwakilisha majina ( nouns ) . Mifano ya pronouns ni kama vile : I , You , She , He , It , We , They , Me , Yours , Ours , It's , Myself ,... N.K Kwa leo tutasoma kwa uchache kwanza. JINSI YA KUTUMIA PRONOUNS ( VIWAKILISHI )...
  5. English Kona

    Jifunze kiingereza

    Kwa kipengele cha nouns tumeshaki maliza , tunahamia kipengele kingine , kama kuna swali lolote hapo juu inayohusiana na topic yetu basi usisite kuuliza. Tunahamia kwenye pronouns.
  6. English Kona

    Jifunze TENSES hapa

    II. Present continuous tense ( wakati uliopo hali ya kuendelea ) Tumeshasoma kuhusu simple present tense . Sasa hapa tunaangalie " the present continuous tense . " Vitenzi vya " the present continuous tense " huwa vinaongezewa ING mbele. MUUNDO WA SENTENSI ZA PRESENT CONTINUOUS TENSE : Hapa...
  7. English Kona

    Jifunze kiingereza

    Tuko pamoja , pia usisahau ku-subscribe katika channel ya YouTube ili tuzidi kuwa wengi.
  8. English Kona

    Jifunze kiingereza

    Wakuu ningependa kuwakumbusha kuwa hapa tunasoma simple grammar tu, hivyo unaweza ukaona labda kuna vipengele tumeviruka. Grammar hii ukiisoma na ukaielewa basi itakusaidia sana katika safari yako ya kiingereza. Pia ningependa kuwakumbusha kuwa tumeanzisha channel ya YouTube mpya, kwa sasa ina...
  9. English Kona

    Jifunze kiingereza

    Majina ya umiliki ( possessive nouns ) MAJINA YA UMILIKI ( POSSESSIVE NOUNS ) Possessive nouns - haya ni majina yanayotumika kuonyesha umiliki wa vitu . =>Kikawaida majina haya huongezewa alama ya mkato wa juu ( ' ) na S . #Mfano : - Anna's car ( Gari la Anna ) - Juma's wife ( Mke wa...
  10. English Kona

    Jifunze kiingereza

    COUNT VS NON-COUNT NOUNS ( MAJINA YANAYOHESABIKA vs MAJINA YASIYOHESABIKA ) COUNT NOUNS - Ni majina yote ambayo yanaweza kuhesabika . # Mfano: Pen , computer , bottle , spoon, cup , television , chair , shoe , finger , camera , table , book... SIFA YA MAJINA HAYA ( COUNT NOUNS ) I >...
  11. English Kona

    Jifunze kiingereza

    SINGULAR AND PLURAL OF NOUNS ( UMOJA NA WINGI WA MAJINA ) 1. Kikawaida wingi wa majina huwa tunaongezea ' s ' mbele . =>bottle - bottles ( Chupa / vyupa) =>cup - cups ( kikombe / vikombe) =>Window - windows ( dirisha / madirisha ) . =>Bed - beds ( kitanda / vitanda ) . 2. Kwa majina...
  12. English Kona

    Jifunze kiingereza

    >>>>>>>>SUBSCRIBE<<<<<<<<<<
  13. English Kona

    Jifunze kiingereza

    Unapoanza kujifunza kiingereza unatakiwa ujue baadhi ya kanuni muhimu ya lugha hii . Kanuni hizo utazijua baada ya kujifunza grammar . Grammar itakusaidia kutunga sentensi zako kwa usahihi na pia itakufanya uweze kumudu kiingereza cha kuongea na kuandika . Katika uzi huu tutafundishana simple...
  14. English Kona

    Jifunze TENSES hapa

    Asante sana mkuu, nasi pia tumefurahi. Ngoja tukiwakishe tena.
  15. English Kona

    Jifunze TENSES hapa

    Bado tupo mkuu , tumefufua tena
Back
Top Bottom