Hivi ni sahihi kweli kwa ccm kuwaelekeza wanachama wake namna ya kutoa maoni kuhusu katiba mpya? ktk pitapita zangu nilikutana na viongozi fulani wa chama hicho wakiwa na fomu fulani yenye maoni kama 22 hv yakionesha kwamba ccm haipo tayari kukubaliiana na mabadiliko ya katiba yetu,kwa hali hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.