Recent content by engineerben

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga

    HAUJASEMA IDADI YA VYUMBA
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi kuuza mitiki? Mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa

    bado ipo? na ina miaka mingapi?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi kuuza mitiki? Mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa

    hiyo miti ina umri gani ndugu?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Pata incubators imara zenye ufanisi zaidi

    LOCATION Dar es salaam- Kigamboni SIFA ZA MACHINE -Uzalishaji wa mashine ni zaidi ya asilimia 85% ya idadi ya mayai utakayo weka kwenye mashine. -Ugeuzwaji wa mayai ni automatic( mashine inageuza mayai yenyewe) -Mashine zinatumia umeme Contacts: 0765 101107, 0620 367582
  5. E

    JamiiForums Tanzania Pata incubators imara zenye ufanisi zaidi

    Mashine hizi ni imara zina ufanisi wa uhakika wa zaidi ya asilimia (80-90). Ni automatic Karibu ujipatie na ufurahie uzalishaji wake
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kiwango cha malipo alicho tumia Babu wa Loliondo.

    Jamani babu alianza kutibu ktambo, nikiwa arusha nikakutana na mama alinieleza yy alienda kule loliondo 2009 akiwa anaumwa sukari kiasi alikua haongei wala kula, bt baada ya kikombe sauti ikatoka na misosi ikawa inapanda. Mwingine alikua mtumishi wa umma, mwanae alikua anadondoka shule hta siku3...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Red Mercury, nijuzeni hili

    Maana kuna vijiji golori hzo nyingi tu hasa machimboni
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Red Mercury, nijuzeni hili

    Kijiji gani,
  9. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mteja wa Tangawizi

    Mbeya
  10. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mteja wa Tangawizi

    Mbeya
  11. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mteja wa Tangawizi

    Nina tangawizi iliyo shambani, imekomaa vizuri. Shamba ni heka 1. Kwa mteja aliye tayari kwa bei ya 3,000ths /kilo, tuwasiliane ili mavuno yafanyike. 0765101107
  12. E

    JamiiForums Tanzania Madini na jiko za ugermani ya zamani

    Kwa mnunuzi aliye serious ani inbox. Sitaki siasa kwani vitu vipo tatizo mnunuzi wa kweli.
Back
Top Bottom