Recent content by Engineer Petii

  1. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Ebwana Eeh Umenifungua Macho! Shukrani Sana mkuu! Soo nisishike Tuu Simu zao kabsa??
  2. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Daaah Kiongozii ilo Lakulongwa Wawili wameshaniambia Afu Nikaona Wanatania [emoji15]Duuh Asante Sana Kwa Ushaurii mmmmmh
  3. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Kati ya wa Watu walioelewa Mada Mpka Muda Huu! Wa Kwanza Niwewe! Asante Sana Kwa Ushauri Mzuri AMEHLO [emoji1320][emoji1320]
  4. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Hahaha I got u Boss! Siwezi Pasha Kiporo Kabsa! Aiwezi Tokea Japo wanatumia Gharama nyingi Sana Kutaka Kupasha! SISUBUTU
  5. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Asante Boss! Lkn Sijapata Ushauri wako ! Na Sijui kama Umesoma vzur Nilivoandika As a Man!
  6. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Mkuu Naonaga Nyumba Zinapigwa Ex then Baada ya Muda Nakuta Pamejengwa na Awajavunja! Cjui Huwa Inakuaje?
  7. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Hahaaha! Mkuu Nimesahau Kimoja Tangu Niachane Nao Wamekua Wazuri Zaidi Kuliko Nilivokua Nao!
  8. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Sijapoteza Muda wao Mkuu! Kuna Story Kwenye Mahusiano Yoyote Lazma iwepo! Mpaka Kufikia Kuachana Nao! Na Ninashukuru Tangu Niachane Nao Wote Wanamahusiano Ambayo Naona Ni Mazuri! Lkn Ndo Bado Wananitafuta ....Kuna Tabia Ambazo Azikunirithisha!!!! Kuachana Nao Ikawa Ngumu! Maana Walikua Awataki...
  9. Engineer Petii

    Je EX anaweza kufurahia maendeleo yako? Au mahusiano?

    Habariini za Muda Huu! ( MFANO MIMI.....) Bwana Mimii Nina Ex Zangu Watatu MMOJA TULIDUMU MIAKA MITATU MWINGINE MINNE NA MWINGINE SITA Ambao Kiukweli Niliwahi Kuwaumiza Sana! Lakini Chakushangaza na kinachonipa Mawazo Sana Still Bado Wananitafuta Mpaka Leo Nakuulizia Kuhusu Mahusiano Yangu Ya...
  10. Engineer Petii

    DEAR SON#

    Duuh Hiii Nimeipenda Sana!Na Ni Elimu Kubwa Sana, Hongera Sana mkuu! Tunapenda Kuona JF wanatoa Uzi Kama Hizi Aisee! Nasubiri Inayofwata [emoji1317][emoji1317]
  11. Engineer Petii

    True Story: Kwanini Maya?

    #DOKEZO JE MAYA NA PETER WATAFIKIA WAPII NA KWANINI STORY INAITWA! KWANINI MAYA! NDO KWANZA MPYA BADO! UKO MBELE NI MACHOZI NA UZUNI ! STAY TUNE!
  12. Engineer Petii

    True Story: Kwanini Maya?

    Yes Wapoo!
Back
Top Bottom