Recent content by Engineer mussa ngelime

  1. Engineer mussa ngelime

    Lets solve some physics facts here! Come we get to know :)

    WHy newton’s Application laws is a basic principle in our daily life ??!
  2. Engineer mussa ngelime

    Round one & two majina UDSM kwa ngazi na ya Masters Degree

    Samahani wana jamii forum kwa mwenye atakuwa na majina ya round ya kwanza na ya pili chuo cha udsm kwa ngazi ya masters degree naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.
  3. Engineer mussa ngelime

    Hivi UDSM kunautaratibu wa kufanya late application, masters degree?

    Sijajua kaka maana mm niliomba mwishoni mwa mwezi wa 9 kabla second round being closed na now almost mwezi account yangu Kwenye dash board inaonesha tu kuwa nime submit my application nacho jua kuna mwalimu alinipigia kuni alert tu kuwa nimepangiwa structural km wiki 2 zilizopita ivi ila majina...
  4. Engineer mussa ngelime

    Hivi UDSM kunautaratibu wa kufanya late application, masters degree?

    Mm no miongoni mwa waliomba nitake ya mwezi wa 9 now wapo katika mchakato wa kurelease majina nacho jua we apo subiri mpaka nitake ya mwakan ya mwezi wa pili ndo ipo opened!! Au Kama utaweza nikupe no ya lecture lkn kwa upande wa department ya Coet yeye ana dili na mambo kama aya sijajua ww upo...
  5. Engineer mussa ngelime

    Naomba tips za awali za kuitwa siku ya kwanza kwenye usaili

    Wadau naombeni msaada wa mawazo ikiwa ndo siku ya kwanza kuitwa Kwenye interview...based on your career!! Viashiria gani positive inabidi uwe navyo na vipi inabidi uzue
  6. Engineer mussa ngelime

    Naomba kujuzwa namna ya kupata nafasi katika Engineering registration board (ERB)

    Asante Mkuu wangu!!nipo Tarura bro lkn sikuwa ndani ya program ya seap Ivo nilikuwa Naomb kujua nawezaje kupata fursa
  7. Engineer mussa ngelime

    Naomba kujuzwa namna ya kupata nafasi katika Engineering registration board (ERB)

    Wadau samahanini! Mimi ni graduate engineer hususan mambo ya ujenzi...nilikuwa napenda kujua ili upate nafasi ya seap ndani ya taasisi Fulani inakuwaje? Msaada tafadhali
Back
Top Bottom