Habari,
Me ni mwanafunzi wa DIT ktk fani ya Electrical Engineering, kwa sasa Nipo week ya kwnz ya Field hapa Azam(Tazara/Dsm)... ila changamoto ninayo iona apa hakuna zile kazi nikaongeza knowledge hata kdg, mda mwingi tunakaa tu.
Naomba msaada sehem bora kwny Field hii ya umeme, niondoke apa!
Habari,
Naomba ushauri wenu au mwnye changamoto kama yangu anaikabili vipi?
Kwa ufupi, me huwa nasahau majina ya ndugu/jamaa/marafiki punde tu baada ya kutengana(hata kwa week)
Hili swala limekuwa gumu kulikabili, maana sometime nakutana na mtu ananiita majina yang matatu, ila me simjui hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.