Kwa ushauri wangu, wanaostahili kuteuliwa ni wale wenye CV zilizoshiba ambao waligombea ubunge katika majimbo lakini kura zilikua kidogo. Ninasema hivyo kwa sababu kuna uhusiano mkubwa kati ya kura nyingi na rushwa.
Tuseme ukweli, jamani dunia nzima inaongozwa na ELIMU. Namnukuu Mahatma Ghandi (Mwanaphilosophia nguli ktk Menejimenti) 'Ili uwe kua kiongozi bora, ni lazima kiongozi uwe muelewa kuliko wale unaowaongoza'. Hapa Tanzania ni kinyume chake. Kwa kweli haya ya kukataa elimu (Sayansi), ni mawazo...
Nafikiri mama SHS hajakurupuka!!! Kwa nini watu wengi wanashangilia? Nenda Arusha uliza mwana CCM yeyote hususan Arusha DC, au hata St John's University aliposomea huyu DC!!! Ukweli wote utajulikana ... TUACHE UCHUNGUZI UTATENDA HAKI!!!!. Funzo kubwa kwa tulio MADARAKANI, jamani tutende HAKI kwa...
Mhe. Raisi, nimekua nikifuatilia sana hoja ya uhitaji wa Wahadhiri wenye sifa katika vyuo vikuu vyetu vya uma hapa nchini na kugundua kwamba bado kuna upungufu mkubwa sana. Baada ya kutafakari na kufanya utafiti mdogo, kuna haja ya kutafakari upya kama ifuatavyo;
1. Kuna wahadhiri waliosomeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.