Recent content by Eng_Maganila

  1. E

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    Hatariii upo vizuri kiongoz unatuburudisha na kutufundisha piah naamini unaitendea haki kazi ya Fasihi andishi. Mungu akujalie uendelee kutuletea vitu vizuri zaidi na ufike mbali kama malengo yako yalivyo.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Harakati za maisha

    Tunaendelea kuelimika na kuburudika Sante Jack Daniel
  3. E

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

    Bdo sijaelewa kwan Course ya Communication systems Technology Engineering anasoma masomo gan au anaesomea nn?? au ndo hiyo hiyo IT???
  4. E

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

    Ipi bora kati ya IT na hiyo Communication systems Technology Engineering????? Na Chuo cha DIT ni kizur kwa course hiyo ya CST???
  5. E

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

    Napenda kufafanuliwa zaidi kuhusu course ya Communication systems Technology Engineering. Inahisiana na nini na mtubakiisoma anaweza kuajiliwa kama nani au kijiajili kwa kazi zip?
Back
Top Bottom