Recent content by Eng_CNT

  1. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nawachukia Tanesco sanaaa Kwasababu ya uongo na ubabaishaji wenu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Kama hutojali naomba namba ya mkurugenzi mkuu wa Tanesco Dk. Titus Mwinuka Kwenye inbox au nitumie kwenye namba iliyoko kwenye application form 0000556510
  3. E

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Nipe jina la hii application na 0000556510 na utachukua hatua gani na lini nitafungiwa umeme??
  4. E

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Niambie mnanisaidiaje?? Kuipokea hata yule meneja himo huwa ananipa kauli za kisiasa mara10 zaidi nmefika nazungushwa
  5. E

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Ndio tatizo nililonalo sasa Nmelipia umeme Tanesco Himo K'njaro tarehe 19/10/2016 mpka leo tareh25/04/2017 (zaidi ya miezi6) sijaona hata nguzo nmeripoti kwa meneja himo mara kumi ananizungusha tu.... Application form Yenye application number 0000556510 Nimechoka sasa naazamia kuandika barua...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Kama hujawahi pata usumbufu ktk taasis ya serikali. Kaombe kufungiwa umeme tanesco utazungushwa sio foreman, meneja au kibarua wanakuzungusha tu mpka unawaambia wakurufishie hela wanakataa.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Ndugu TANESCO nimelipia umeme Nguzo2 urefu Mita100 kuanzia mwaka jana tareh19/10/2016 mpka Leo tarehe 24/04/2017 sijaunganishiwa umeme nimekuwa mtu wakuzungushwa kila nikienda Tanesco nazungushwa nimechoka. Niliambiwa ndani ya siku60
  8. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Limefikaje kama hawa TANESCO hawajauliza details zangu? Ndio limeishia hapa hapa mkuu. (Au unaonaje Niandike barua kwa katibu mkuu wa Nishati na Madini)
  9. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu utakuwa umezidi kiwango cha 75KW kwa mwezi ndio maana ukawekwa tarifu T1 na sio T4 Jaribu kutumia zosizozidi Units 70KW kwa miezi ndani ya miezi3 automatically utapelekwa kwa watumiaji wadogo
  10. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Inakatisha tamaa sana Bado hizi Enzi za JPM, kunataasisi zinatumia lugha zile za kuzungushana tu. Ingekuwa kunakurushiwa hela ningeenda kuchukua hela yangu
  11. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMECHOKAAA NMEUMIZWA SANA NA KADHIA HIII Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni ajibu. Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya...
  12. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni majibu Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa na mimi sio MTU wakutoa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni majibu. Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa na mimi sio MTU wakutoa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco sasa yapita miezi6 toka nmelipa gharama za kuunganishiwa umeme. Naombeni ajibu. Nmelipia tare16/10/2016 mkaniambia ndani ya siku 90 sasa hivi sijui niwaeleweje. Nmeshaenda TANESCO Himo mara10 wananizungusha, like kama wanatengeneza mazingira ya kupewa rushwa na mimi sio MTU wakutoa...
  15. E

Back
Top Bottom