Halafu hii nipeleke wapi, kama una unga unga maisha ndio utawaza hilo ila kama gari umelipenda utalihudumia mkuu. Nissan haimuhitaji masikini wa kusema gari ni asset wakati gari ni liability
Sasa mimi ni mpenzi mkubwa wa Nissan, tema Murano. Ninaimiliki ila imenitesa sana sio kidogo ila imekuja kutulia hadi nashangaa.
Ipo hv, nilipoinunua hii gari sikupata shida. Siku moja nikampa fundi anifanyie service ya oil ya gear box na Engine. Fundi akanunua oil ya Puma(manjis Arusha) badala...
Kabisa mkuu Sijui umetumia uchawi gani hapa maana hata wauzaji walishindwa kabisa kuitambua[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro nashukuru sana, ila naina kama haifananani, ila nashukuru sana maana nazidi kupata mwanga mkuu..
3m eti kuoiga tu rangi si bora ninunue corolla au mark 2 au cheser na chenji inabaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, hilo gari nimelikuta mtandaoni nikaipenda hiyo rangi nimetafuta codes za hiyo rangi nikakosa., kuna siku pia nikakutana na muhindi mmoja amepiga kwenye gari lake nikamuimba aniambie akagoma ila akanielekeza kwa mpiga rangi wake ili akanioigie na mimi..., duh huyo fundi aliniambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.